Zechariah 1:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawa ndio waliotumwa na Mwenyezi-Mungu kuikagua dunia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha yule mtu aliyesimama katikati ya miti ya mihadasi akaeleza, “Ni wale ambao Mwenyezi Mungu amewatuma waende duniani kote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule mtu aliyesimama kati ya mihadasi akajibu, akasema, Hawa ndio Bwana aliowatuma, waende huko na huko duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawa ndio waliotumwa na Mwenyezi-Mungu kuikagua dunia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha yule mtu aliyesimama katikati ya miti ya mihadasi akaeleza, “Ni wale ambao BWANA amewatuma waende duniani kote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha yule mtu aliyesimama katikati ya miti ya mihadasi akaeleza, “Ni wale ambao bwana amewatuma waende duniani kote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yule mtu aliyesimama kati ya mihadasi akajibu, akasema, Hawa ndio BWANA aliowatuma, waende huku na huko duniani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawa ndio waliotumwa na Mwenyezi-Mungu kuikagua dunia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajibu yule mtu aliyesimama katikati ya vihagilo, akasema: Hawa ndio, Bwana aliowatuma kutembea katika nchi po pote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule mtu aliyesimama kati ya mihadasi akajibu, akasema, Hawa ndio BWANA aliowatuma, waende huko na huko duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio waliotumwa na Yawe kuichunguza dunia.