Zechariah 1:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akampa huyo malaika jibu jema na lenye matumaini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Mwenyezi Mungu akazungumza maneno ya upole na ya kufariji kwa malaika aliyezungumza nami.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana akamjibu yule malaika aliyesema nami kwa maneno mazuri, maneno yenye faraja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akampa huyo malaika jibu jema na lenye matumaini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo BWANA akazungumza maneno ya upole na ya kufariji kwa malaika aliyezungumza nami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo bwana akazungumza maneno ya upole na ya kufariji kwa malaika aliyezungumza nami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA akamjibu yule malaika aliyesema nami kwa maneno mazuri, maneno yenye faraja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akampa huyo malaika jibu jema na lenye matumaini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamjibu malaika aliyesema na mimi, akamwambia maneno mema ya kuutuliza moyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA akamjibu yule malaika aliyesema nami kwa maneno mazuri, maneno yenye faraja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamupa yule malaika jibu jema na lenye matumaini.