Zechariah 1:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi Mwenyezi-Mungu nilichukizwa sana na wazee wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwenyezi Mungu aliwakasirikia sana baba zako wa zamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana amewakasirikia sana baba zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi Mwenyezi-Mungu nilichukizwa sana na wazee wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“BWANA aliwakasirikia sana baba zako wa zamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ bwana aliwakasirikia sana baba zako wa zamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA amewakasirikia sana baba zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi Mwenyezi-Mungu nilichukizwa sana na wazee wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana alikuwa amewakasirikia sana baba zenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA amewakasirikia sana baba zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alichukizwa sana na babu zenu.