Zechariah 1:20 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Mwenyezi-Mungu akanionesha wafuachuma wanne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akanionesha mafundi wanne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Bwana akanionyesha wafua chuma wanne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Mwenyezi-Mungu akanionesha wafuachuma wanne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akanionyesha mafundi wanne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akanionyesha mafundi wanne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha BWANA akanionesha wafua chuma wanne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Mwenyezi-Mungu akanionesha wafuachuma wanne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Bwana akanionyesha wafua vyuma wanne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha BWANA akanionyesha wafua chuma wanne.