Zechariah 1:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazee wenu, wako wapi? Na manabii, je, wanaishi milele?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wako wapi baba zako sasa? Nao manabii, je, wanaishi milele?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Baba zenu wako wapi? Nao manabii je! Waishi milele?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazee wenu, wako wapi? Na manabii, je, wanaishi milele?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wako wapi baba zako sasa? Nao manabii, je, wanaishi milele?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wako wapi baba zako sasa? Nao manabii, je, wanaishi milele?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je, Baba zenu wako wapi? Je, manabii nao wanaishi milele?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazee wenu, wako wapi? Na manabii, je, wanaishi milele?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, baba zenu wako wapi? Nao wafumbuaji watakuwapo kale na kale?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Baba zenu wako wapi? Nao manabii je! Waishi milele?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Babu zenu, wako wapi? Na manabii, wanaishi milele?