Zechariah 10:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nitawaita watu wangu na kuwakusanya pamoja; nimekusudia kuwakomboa, nao watakuwa wengi kama hapo awali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawaashiria na kuwakusanya ndani. Hakika nitawakomboa, nao watakuwa wengi kama walivyokuwa mwanzoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitawapigia kelele, na kuwakusanya pamoja; kwa maana nimewakomboa; nao wataongezeka kama walivyoongezeka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nitawaita watu wangu na kuwakusanya pamoja; nimekusudia kuwakomboa, nao watakuwa wengi kama hapo awali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawaashiria na kuwakusanya ndani. Hakika nitawakomboa, nao watakuwa wengi kama walivyokuwa mwanzoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawaashiria na kuwakusanya ndani. Hakika nitawakomboa, nao watakuwa wengi kama walivyokuwa mwanzoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitawapigia kelele, na kuwakusanya pamoja; kwa maana nimewakomboa; nao wataongezeka kama walivyokua hapo awali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nitawaita watu wangu na kuwakusanya pamoja; nimekusudia kuwakomboa, nao watakuwa wengi kama hapo awali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawakusanya na kuwapigia miluzi, kwani nitawakomboa; nao watakuwa wengi, kama walivyokuwa wengi kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitawapigia kelele, na kuwakusanya pamoja; kwa maana nimewakomboa; nao wataongezeka kama walivyoongezeka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaita watu wangu na kuwakusanya pamoja; nimekusudia kuwakomboa, nao watakuwa wengi kama vile mbele.