Zechariah 11:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikaichukua ile fimbo yangu niliyoiita “Fadhili,” nikaivunja, kuonesha kwamba agano alilofanya Mwenyezi-Mungu na watu wake limevunjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nikachukua fimbo yangu inayoitwa Fadhili nikaivunja, kutangua agano nililofanya na mataifa yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikaitwaa hiyo fimbo yangu, iitwayo Neema, nikaikata vipande viwili, ili nipate kulivunja agano langu nililolifanya na watu wa kabila zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikaichukua ile fimbo yangu niliyoiita “Fadhili,” nikaivunja, kuonesha kwamba agano alilofanya Mwenyezi-Mungu na watu wake limevunjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nikachukua fimbo yangu inayoitwa Fadhili nikaivunja, kutangua Agano nililofanya na mataifa yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nikachukua fimbo yangu inayoitwa Fadhili nikaivunja, kutangua Agano nililofanya na mataifa yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikaitwaa hiyo fimbo yangu, iitwayo Neema, nikaikata vipande viwili, ili nipate kulivunja agano langu nililolifanya na watu wa kabila zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikaichukua ile fimbo yangu niliyoiita “Fadhili,” nikaivunja, kuonesha kwamba agano alilofanya Mwenyezi-Mungu na watu wake limevunjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikaichukua fimbo yangu iitwayo Mapendeleo, nikaivunja, ni kwamba: Nilitangue agano langu, nililolifanya na makabila yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikaitwaa hiyo fimbo yangu, iitwayo Neema, nikaikata vipande viwili, ili nipate kulivunja agano langu nililolifanya na watu wa kabila zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikakamata ile fimbo yangu niliyoiita “Rehema”, nikaivunja, kuonyesha kwamba agano Yawe alilofanya na watu wake limevunjwa.