Zechariah 11:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha nikaivunja ile fimbo yangu ya pili niliyoiita “Umoja;” na hivyo nikauvunja umoja kati ya Yuda na Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nikaivunja fimbo yangu ya pili iitwayo Umoja, kuvunja undugu kati ya Yuda na Israeli!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikaikata vipande viwili fimbo yangu ya pili, iitwayo Vifungo, ili nipate kuuvunja udugu uliokuwa kati ya Yuda na Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha nikaivunja ile fimbo yangu ya pili niliyoiita “Umoja;” na hivyo nikauvunja umoja kati ya Yuda na Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nikaivunja fimbo yangu ya pili iitwayo Umoja, kuvunja udugu kati ya Yuda na Israeli!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nikaivunja fimbo yangu ya pili iitwayo Umoja, kuvunja undugu kati ya Yuda na Israeli!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikaikata vipande viwili fimbo yangu ya pili, iitwayo Umoja, ili nipate kuuvunja udugu uliokuwa kati ya Yuda na Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha nikaivunja ile fimbo yangu ya pili niliyoiita “Umoja;” na hivyo nikauvunja umoja kati ya Yuda na Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikaivunja fimbo yangu ya pili iitwayo Mapatanisho, ni kwamba: Niutangue udugu wao Wayuda nao wa Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikaikata vipande viwili fimbo yangu ya pili, iitwayo Vifungo, ili nipate kuuvunja udugu uliokuwa kati ya Yuda na Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha nikavunja ile fimbo yangu ya pili niliyoiita “Umoja” na hivyo nikauvunja umoja kati ya Yuda na Israeli.