Zechariah 11:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akaniambia tena, “Jifanye tena mchungaji, lakini safari hii uwe kama mchungaji mbaya!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akaniambia, “Vitwae tena vifaa vya mchungaji mpumbavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaniambia, Jitwalie tena vyombo vya mchungaji mpumbavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akaniambia tena, “Jifanye tena mchungaji, lakini safari hii uwe kama mchungaji mbaya!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akaniambia, “Vitwae tena vifaa vya mchungaji mpumbavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akaniambia, “Vitwae tena vifaa vya mchungaji mpumbavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaniambia, Jitwalie tena vyombo vya mchungaji mpumbavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akaniambia tena, “Jifanye tena mchungaji, lakini safari hii uwe kama mchungaji mbaya!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akaniambia: Jichukulie tena vyombo vya mchungaji asiyefaa kitu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaniambia, Jitwalie tena vyombo vya mchungaji mpumbavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akaniambia tena: Ujifanye tena kuwa muchungaji, lakini mara hii ukuwe kama muchungaji mupumbafu!