Zechariah 11:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikia maombolezo ya watawala! Fahari yao imeharibiwa! Sikia ngurumo za simba! Pori la mto Yordani limeharibiwa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikiliza yowe la wachungaji; malisho yao manono yameangamizwa! Sikia ngurumo za simba; kichaka kilichostawi sana cha Yordani kimeharibiwa!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya wachungaji, ya uchungu mwingi! Kwa maana utukufu wao umeharibika; Sauti ya ngurumo ya wana-simba! Kwa maana kiburi cha Yordani kimeharibika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikia maombolezo ya watawala! Fahari yao imeharibiwa! Sikia ngurumo za simba! Pori la mto Yordani limeharibiwa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikiliza yowe ya wachungaji; malisho yao manono yameangamizwa! Sikia ngurumo za simba; kichaka kilichostawi sana cha Yordani kimeharibiwa!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikiliza yowe la wachungaji; malisho yao manono yameangamizwa! Sikia ngurumo za simba; kichaka kilichostawi sana cha Yordani kimeharibiwa!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikiliza, maombolezo ya wachungaji, Kwa maana utukufu wao umeharibiwa; Sikiliza, ngurumo za simba, Kwa maana vichaka vya Yordani vimeharibiwa!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikia maombolezo ya watawala! Fahari yao imeharibiwa! Sikia ngurumo za simba! Pori la mto Yordani limeharibiwa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikilizeni, wachungaji wanavyolia, kwa kuwa hayo malisho yao mazuri mno yameangamizwa! Sikilizeni, wana wa simba wanavyonguruma, kwani machaka ya Yordani, waliyojivunia, yameangamizwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya wachungaji, ya uchungu mwingi! Kwa maana utukufu wao umeharibika; Sauti ya ngurumo ya wana-simba! Kwa maana kiburi cha Yordani kimeharibika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikia maombolezo ya watawala! Utukufu wao umeharibiwa! Sikia ngurumo za simba! Pori la muto Yordani limeharibiwa!