Zechariah 11:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alisema hivi: “Jifanye mchungaji wa kondoo waendao kuchinjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wangu: “Lilishe kundi lililokusudiwa kuchinjwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, Mungu wangu, alisema hivi, Lilishe kundi la machinjo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alisema hivi: “Jifanye mchungaji wa kondoo waendao kuchinjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo asemalo BWANA Mungu wangu: “Lilishe kundi lililokusudiwa kuchinjwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo asemalo bwana Mwenyezi Mungu wangu: “Lilishe kundi lililokusudiwa kuchinjwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, Mungu wangu, alisema hivi, Lilishe kundi la machinjo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alisema hivi: “Jifanye mchungaji wa kondoo waendao kuchinjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Bwana Mungu wangu anavyosema: Wachunge kondoo walio wa kuuawa tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, Mungu wangu, alisema hivi, Lilishe kundi la machinjo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe, Mungu wangu, alisema hivi: Ujifanye muchungaji wa kondoo wanaokwenda kuchinjwa.