Zechariah 11:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanunuzi wao wanawachinja lakini hawaadhibiwi; na wauzaji wao wanasema, ‘Na ashukuriwe Mwenyezi-Mungu! Sasa tumetajirika’. Hata wachungaji wenyewe hawawaonei huruma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanunuzi wake huwachinja na kuondoka pasipo kuadhibiwa. Wale wanaowauza husema, ‘Ahimidiwe Mwenyezi Mungu, mimi ni tajiri!’ Wachungaji wao wenyewe hawawahurumii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambalo wenye kundi hilo huwachinja, kisha hujiona kuwa hawana hatia; na hao wawauzao husema, Na ahimidiwe Bwana, kwa maana mimi ni tajiri; na wachungaji wao wenyewe hawawahurumii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanunuzi wao wanawachinja lakini hawaadhibiwi; na wauzaji wao wanasema, ‘Na ashukuriwe Mwenyezi-Mungu! Sasa tumetajirika’. Hata wachungaji wenyewe hawawaonei huruma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanunuzi wake huwachinja na kuondoka pasipo kuadhibiwa. Wale wanaowauza husema, ‘BWANA asifiwe, mimi ni tajiri!’ Wachungaji wao wenyewe hawawahurumii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanunuzi wake huwachinja na kuondoka pasipo kuadhibiwa. Wale wanaowauza husema, ‘ bwana asifiwe, mimi ni tajiri!’ Wachungaji wao wenyewe hawawahurumii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambalo wenye kundi hilo huwachinja, kisha hujiona kuwa hawana hatia; na hao wawauzao husema, Na ahimidiwe BWANA, kwa maana mimi ni tajiri; na wachungaji wao wenyewe hawawahurumii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanunuzi wao wanawachinja lakini hawaadhibiwi; na wauzaji wao wanasema, ‘Na ashukuriwe Mwenyezi-Mungu! Sasa tumetajirika’. Hata wachungaji wenyewe hawawaonei huruma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliowanunua huwaua pasipo kukora manza; nao waliowauza husema: Atukuzwe Bwana, kwa kuwa nimepata mali! Nao wachungaji wao hawawahurumii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambalo wenye kundi hilo huwachinja, kisha hujiona kuwa hawana hatia; na hao wawauzao husema, Na ahimidiwe BWANA, kwa maana mimi ni tajiri; na wachungaji wao wenyewe hawawahurumii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanunuzi wao wanawachinja lakini hawaazibiwi; na wanaowauzisha wanasema: “Yawe ashukuriwe! Sasa tumetajirika.” Hata wachungaji wenyewe hawawaonei huruma.