Zechariah 12:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ukoo wa Lawi peke yake na ukoo wa Shimei peke yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ukoo wa nyumba ya Lawi na wake zao, ukoo wa Shimei na wake zao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
jamaa ya nyumba ya Lawi peke yao, na wake zao peke yao; jamaa ya nyumba ya Shimei peke yao, na wake zao peke yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ukoo wa Lawi peke yake na ukoo wa Shimei peke yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ukoo wa nyumba ya Lawi na wake zao, ukoo wa Shimei na wake zao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ukoo wa nyumba ya Lawi na wake zao, ukoo wa Shimei na wake zao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
jamaa ya nyumba ya Lawi peke yao, na wake zao peke yao; jamaa ya nyumba ya Shimei peke yao, na wake zao peke yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ukoo wa Lawi peke yake na ukoo wa Shimei peke yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio wa mlango wa Lawi peke yao, nao wanawake wao peke yao; walio wa mlango wa Simei peke yao, nao wanawake wao peke yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
jamaa ya nyumba ya Lawi peke yao, na wake zao peke yao; jamaa ya nyumba ya Shimei peke yao, na wake zao peke yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ukoo wa Lawi peke yake na ukoo wa Simei peke yake.