Zechariah 12:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jamaa zote zilizosalia zitaomboleza; wanaume peke yao na wanawake peke yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na koo zote zilizobaki na wake zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jamaa zote zilizosalia, kila jamaa peke yake, na wake zao peke yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jamaa zote zilizosalia zitaomboleza; wanaume peke yao na wanawake peke yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na koo zote zilizobaki na wake zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na koo zote zilizobaki na wake zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jamaa zote zilizosalia, kila jamaa peke yake, na wake zao peke yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jamaa zote zilizosalia zitaomboleza; wanaume peke yao na wanawake peke yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vivyo hivyo milango yote itakayokuwa imesalia, wao wa kila mlango peke yao, nao wanawake peke yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jamaa zote zilizosalia, kila jamaa peke yake, na wake zao peke yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jamaa zote zilizobaki zitaomboleza: wanaume peke yao na wanawake peke yao.