Zechariah 12:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku hiyo, nitayaangamiza mataifa yote yanayotaka kuushambulia mji wa Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku hiyo nitatoka kuangamiza mataifa yote yatakayoshambulia Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata itakuwa siku hiyo, ya kwamba nitatafuta kuwaangamiza mataifa yote watakaokuja kupigana na Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku hiyo, nitayaangamiza mataifa yote yanayotaka kuushambulia mji wa Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku hiyo nitatoka kuangamiza mataifa yote yatakayoushambulia Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku hiyo nitatoka kuangamiza mataifa yote yatakayoshambulia Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata itakuwa siku hiyo, ya kwamba nitayaangamiza mataifa yote yatakayokuja kupigana na Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku hiyo, nitayaangamiza mataifa yote yanayotaka kuushambulia mji wa Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo ndipo, nitakapowatafuta, niwaangamize wamizimu wote wajao kupigana na Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata itakuwa siku hiyo, ya kwamba nitatafuta kuwaangamiza mataifa yote watakaokuja kupigana na Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo, nitayaangamiza mataifa yote yanayotaka kuushambulia Yerusalema.