Zechariah 13:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Theluthi mbili za watu katika nchi zitaangamizwa; ni theluthi moja tu itakayosalimika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika nchi yote,” asema Mwenyezi Mungu, “theluthi mbili watapigwa na kuangamia; hata hivyo theluthi moja watabaki ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata itakuwa, ya kwamba katika nchi yote mafungu mawili yatakatiliwa mbali, nao watakufa, asema Bwana; lakini fungu la tatu litabaki humo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Theluthi mbili za watu katika nchi zitaangamizwa; ni theluthi moja tu itakayosalimika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika nchi yote,” asema BWANA, “theluthi mbili watapigwa na kuangamia; hata hivyo theluthi moja watabakia ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika nchi yote,” asema bwana, “theluthi mbili watapigwa na kuangamia; hata hivyo theluthi moja watabaki ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata itakuwa, ya kwamba katika nchi yote mafungu mawili yatakatiliwa mbali, nao watakufa, asema BWANA; lakini fungu la tatu litabaki humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Theluthi mbili za watu katika nchi zitaangamizwa; ni theluthi moja tu itakayosalimika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Hapo ndipo, mafungu mawili yatakapoangamizwa katika nchi hii yote nzima, yafe, lakini fungu la tatu litasazwa huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata itakuwa, ya kwamba katika nchi yote mafungu mawili yatakatiliwa mbali, nao watakufa, asema BWANA; lakini fungu la tatu litabaki humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu mbili za tatu za watu katika inchi zitaangamizwa; ni sehemu moja ya tatu tu itakayobaki.