Zechariah 14:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji wa Yerusalemu utakaliwa na watu kwani ndani yake haitakuwapo laana tena; naam, watu watakaa humo kwa usalama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakaliwa na watu, kamwe hautaharibiwa tena, Yerusalemu utakaa salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu watakaa ndani yake, wala hakutakuwako laana tena; lakini Yerusalemu utakaa salama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji wa Yerusalemu utakaliwa na watu kwani ndani yake haitakuwapo laana tena; naam, watu watakaa humo kwa usalama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakaliwa na watu, kamwe hautaharibiwa tena, Yerusalemu utakaa salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakaliwa na watu, kamwe hautaharibiwa tena, Yerusalemu utakaa salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu watakaa ndani yake, wala hakutakuwako laana tena; lakini Yerusalemu utakaa salama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji wa Yerusalemu utakaliwa na watu kwani ndani yake haitakuwapo laana tena; naam, watu watakaa humo kwa usalama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humo ndimo, watu watakamokaa pasipo kupatwa tena na kiapizo cho chote; ndivyo, Yerusalemu utakavyokaa salama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu watakaa ndani yake, wala hakutakuwako laana tena; lakini Yerusalemu utakaa salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji Yerusalema utakaliwa na watu maana ndani yake hakutakuwa laana tena; watu watakaa kule kwa usalama.