Zechariah 14:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maafa makubwa yatawakumba farasi, nyumbu, ngamia, punda na wanyama wote watakaokuwamo katika kambi hizo za maadui.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tauni ya aina hiyo hiyo itapiga farasi na nyumbu, ngamia na punda, nao wanyama wote walio kwenye kambi za adui.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hivyo ndivyo itakavyokuwa tauni ya farasi, na nyumbu, na ngamia, na punda, na ya hao wanyama wote watakaokuwamo matuoni mle, kama tauni hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maafa makubwa yatawakumba farasi, nyumbu, ngamia, punda na wanyama wote watakaokuwamo katika kambi hizo za maadui.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tauni ya aina iyo hiyo itapiga farasi na nyumbu, ngamia na punda, nao wanyama wote walioko kwenye kambi za adui.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tauni ya aina iyo hiyo itapiga farasi na nyumbu, ngamia na punda, nao wanyama wote walioko kwenye kambi za adui.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hivyo ndivyo itakavyokuwa tauni ya farasi, na nyumbu, na ngamia, na punda, na ya hao wanyama wote watakaokuwamo kambini mle, kama tauni hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maafa makubwa yatawakumba farasi, nyumbu, ngamia, punda na wanyama wote watakaokuwamo katika kambi hizo za maadui.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lile pigo litapiga vilevile nao farasi na nyumbu na ngamia na punda na nyama wote pia watakaokuwamo makambini mwao hao, liwe sawa na pigo lile la watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hivyo ndivyo itakavyokuwa tauni ya farasi, na nyumbu, na ngamia, na punda, na ya hao wanyama wote watakaokuwamo matuoni mle, kama tauni hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasara kubwa zitapata farasi, nyumbu, ngamia, punda na nyama wote watakaokuwa katika kambi zile za waadui.