Zechariah 14:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Iwapo taifa lolote duniani halitakwenda Yerusalemu kumwabudu Mwenyezi-Mungu wa majeshi aliye mfalme, basi, mvua haitanyesha katika nchi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa taifa lolote la dunia hawataenda Yerusalemu kumwabudu Mfalme, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, mvua haitanyesha kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa, ya kwamba mtu awaye yote wa jamaa zote zilizomo duniani, asiyekwea kwenda Yerusalemu ili kumwabudu Mfalme, Bwana wa majeshi, mvua haitanyesha kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Iwapo taifa lolote duniani halitakwenda Yerusalemu kumwabudu Mwenyezi-Mungu wa majeshi aliye mfalme, basi, mvua haitanyesha katika nchi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa taifa lo lote la dunia hawatakwenda Yerusalemu kumwabudu Mfalme, BWANA Mwenye Nguvu Zote, mvua haitanyesha kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa taifa lolote la dunia hawatakwenda Yerusalemu kumwabudu Mfalme, bwana Mwenye Nguvu Zote, mvua haitanyesha kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa, ya kwamba mtu awaye yote wa jamaa zote zilizomo duniani, asiyekwea kwenda Yerusalemu ili kumwabudu Mfalme, BWANA wa majeshi, mvua haitanyesha kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Iwapo taifa lolote duniani halitakwenda Yerusalemu kumwabudu Mwenyezi-Mungu wa majeshi aliye mfalme, basi, mvua haitanyesha katika nchi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama mlango mmoja wa milango ya nchi hautapanda Yerusalemu kumwangukia mfalme, ndiye Bwana Mwenye vikosi, basi, kwao mvua haitanyesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakuwa, ya kwamba mtu awaye yote wa jamaa zote zilizomo duniani, asiyekwea kwenda Yerusalemu ili kumwabudu Mfalme, BWANA wa majeshi, mvua haitanyesha kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa kuna taifa lolote katika dunia ambalo halitakwenda Yerusalema kumwabudu Yawe wa majeshi anayekuwa mufalme, basi, mvua haitanyesha katika inchi yao.