Zechariah 14:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, kwenye njuga za farasi yataandikwa maandishi haya: “Wakfu kwa Mwenyezi-Mungu Vyungu vilivyomo katika hekalu la Mwenyezi-Mungu vitakuwa kama mabakuli yaliyoko mbele ya madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku hiyo, kengele zilizofungwa kwenye farasi zitaandikwa maneno haya: “Takatifu kwa Mwenyezi Mungu”. Navyo vyungu vya kupikia katika nyumba ya Mwenyezi Mungu vitakuwa kama bakuli takatifu mbele ya madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hiyo katika njuga za farasi yataandikwa maneno haya, WATAKATIFU KWA Bwana; navyo vyombo vilivyomo ndani ya nyumba ya Bwana vitakuwa kama mabakuli yaliyoko mbele ya madhabahu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, kwenye njuga za farasi yataandikwa maandishi haya: “Wakfu kwa Mwenyezi-Mungu.” Vyungu vilivyomo katika hekalu la Mwenyezi-Mungu vitakuwa kama mabakuli yaliyoko mbele ya madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku hiyo, kengele zilizofungwa kwenye farasi zitaandikwa maneno haya: TAKATIFU KWA BWANA, navyo vyungu vya kupikia katika nyumba ya BWANA vitakuwa kama bakuli takatifu mbele ya madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku hiyo, kengele zilizofungwa kwenye farasi zitaandikwa maneno haya: takatifu kwa bwana, navyo vyungu vya kupikia katika nyumba ya bwana vitakuwa kama bakuli takatifu mbele ya madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hiyo katika njuga za farasi yataandikwa maneno haya, WATAKATIFU KWA BWANA; navyo vyombo vilivyomo ndani ya nyumba ya BWANA vitakuwa kama mabakuli yaliyoko mbele ya madhabahu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, kwenye njuga za farasi yataandikwa maandishi haya: “Wakfu kwa Mwenyezi-Mungu Vyungu vilivyomo katika hekalu la Mwenyezi-Mungu vitakuwa kama mabakuli yaliyoko mbele ya madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo ndipo, njuga za farasi zitakapokuwa zimeandikwa: Watakatifu wa Bwana. Nazo sufuria zilizomo Nyumbani mwa Bwana zitawaziwa kuwa sawa na vyano vilivyoko penye meza ya kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hiyo katika njuga za farasi yataandikwa maneno haya, WATAKATIFU KWA BWANA; navyo vyombo vilivyomo ndani ya nyumba ya BWANA vitakuwa kama mabakuli yaliyoko mbele ya madhabahu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, kwenye kengele za farasi kutaandikwa maandiko haya: “Vimetolewa kwa Yawe.” Vyungu vinavyokuwa katika hekalu la Yawe vitakuwa kama mabakuli yanayokuwa mbele ya mazabahu.