Zechariah 14:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo hakutakuwa baridi wala baridi kali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo hakutakuwa na nuru, baridi wala theluji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa siku hiyo, ya kwamba nuru yake haitakuwa na mwangaza na kiwi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo hakutakuwa baridi wala baridi kali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hiyo hakutakuwepo nuru, baridi wala theluji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hiyo hakutakuwepo nuru, baridi wala theluji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa siku hiyo, ya kwamba nuru yake haitakuwa na mwangaza na kiwi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo hakutakuwa baridi wala baridi kali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo haitakuwa na mwanga, nazo nyota zimetukazo zitaguiwa na giza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakuwa siku hiyo, ya kwamba nuru yake haitakuwa na mwangaza na kiwi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule hakutakuwa baridi wala baridi kali.