Zechariah 14:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchana utaendelea bila giza kuingia. Wakati huo wajulikana kwa Mwenyezi-Mungu peke yake. Hakutakuwa mchana wala usiku, kwa maana hata saa za jioni mwanga utaendelea kuwapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Itakuwa siku ya kipekee, isiyo na mchana wala usiku, siku ijulikanayo na Mwenyezi Mungu. Jioni inapofika nuru itakuwepo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini itakuwa siku moja, iliyojulikana na Bwana; si mchana, wala si usiku; lakini itakuwa, ya kwamba wakati wa jioni kutakuwako nuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchana utaendelea bila giza kuingia. Wakati huo wajulikana kwa Mwenyezi-Mungu peke yake. Hakutakuwa mchana wala usiku, kwa maana hata saa za jioni mwanga utaendelea kuwapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Itakuwa siku ya kipekee, isiyo na mchana wala usiku, siku ijulikanayo na BWANA. Jioni inapofika nuru itakuwepo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Itakuwa siku ya kipekee, isiyo na mchana wala usiku, siku ijulikanayo na bwana. Jioni inapofika nuru itakuwepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini itakuwa siku moja, iliyojulikana na BWANA; si mchana, wala si usiku; lakini itakuwa, ya kwamba wakati wa jioni kutakuwako nuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchana utaendelea bila giza kuingia. Wakati huo wajulikana kwa Mwenyezi-Mungu peke yake. Hakutakuwa mchana wala usiku, kwa maana hata saa za jioni mwanga utaendelea kuwapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo moja inayojulikana kwake Bwana haitakuwa mchana wala usiku, lakini wakati wa jioni patakuwa na mwanga tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini itakuwa siku moja, iliyojulikana na BWANA; si mchana, wala si usiku; lakini itakuwa, ya kwamba wakati wa jioni kutakuwako nuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchana utaendelea bila giza kuingia. Wakati huo unajulikana kwa Yawe peke yake. Hakutakuwa muchana wala usiku, kwa maana hata saa za magaribi mwangaza utaendelea kuwa.