Zechariah 2:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika maono mengine, nilimwona mtu aliyekuwa na kamba ya kupimia mkononi mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu palikuwa na mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha nikainua macho yangu, nikaona, na tazama, mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika maono mengine, nilimwona mtu aliyekuwa na kamba ya kupimia mkononi mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu alikuwepo mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu alikuwepo mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha nikainua macho yangu, nikaona, na tazama, mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika maono mengine, nilimwona mtu aliyekuwa na kamba ya kupimia mkononi mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoyainua macho yangu, nichungulie, mara nikaona mtu, naye alishika mkononi mwake kamba ya kupimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha nikainua macho yangu, nikaona, na tazama, mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika maono mengine, niliona pembe ine.