Zechariah 2:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haraka! Nyinyi nyote mnaokaa katika nchi ya Babuloni, kimbilieni huko mjini Siyoni!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Njoo, ee Sayuni! Kimbia, wewe ukaaye ndani ya Binti Babeli!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya! Ee Sayuni, jiponye, wewe ukaaye pamoja na binti Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haraka! Nyinyi nyote mnaokaa katika nchi ya Babuloni, kimbilieni huko mjini Siyoni!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Njoo, Ee Sayuni! Kimbia, wewe ukaaye ndani ya Binti Babeli!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Njoo, ee Sayuni! Kimbia, wewe ukaaye ndani ya Binti Babeli!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya! Ee Sayuni, jiponye, wewe ukaaye pamoja na binti Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haraka! Nyinyi nyote mnaokaa katika nchi ya Babuloni, kimbilieni huko mjini Siyoni!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya! Jiponye, Sioni ukaaye kwake binti Babeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya! Ee Sayuni, jiponye, wewe ukaaye pamoja na binti Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule malaika aliyezungumuza nami akaenda kukutana na malaika mwingine ambaye alikuwa anakuja kwake.