Zechariah 3:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwonya kuhani mkuu Yoshua, akamwambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malaika wa Mwenyezi Mungu akamwamuru Yoshua:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha malaika wa Bwana akamshuhudia Yoshua, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwonya kuhani mkuu Yoshua, akamwambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malaika wa BWANA akamwamuru Yoshua:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malaika wa bwana akamwamuru Yoshua:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha malaika wa BWANA akamshuhudia Yoshua, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwonya kuhani mkuu Yoshua, akamwambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha malaika wa Bwana akamshuhudia Yosua kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha malaika wa BWANA akamshuhudia Yoshua, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika wa Yawe akamwonya Kuhani Mukubwa Yoshua, akamwambia: