Zechariah 4:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule malaika aliyeongea nami, akanijia tena, akaniamsha kama kumwamsha mtu usingizini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha malaika aliyezungumza nami akarudi na kuniamsha, kama mtu aamshwavyo kutoka usingizini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule malaika aliyesema nami akanijia mara ya pili, akaniamsha, kama mtu aamshwavyo katika usingizi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule malaika aliyeongea nami, akanijia tena, akaniamsha kama kumwamsha mtu usingizini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha malaika aliyezungumza nami akarudi na kuniamsha, kama mtu aamshwavyo kutoka katika usingizi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha malaika aliyezungumza nami akarudi na kuniamsha, kama mtu aamshwavyo kutoka usingizi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yule malaika aliyesema nami akanijia mara ya pili, akaniamsha, kama mtu aamshwavyo katika usingizi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule malaika aliyeongea nami, akanijia tena, akaniamsha kama kumwamsha mtu usingizini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha yule malaika aliyesema na mimi akarudi, akaniamsha kama mtu anayeamshwa katika usingizi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule malaika aliyesema nami akanijia mara ya pili, akaniamsha, kama mtu aamshwavyo katika usingizi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule malaika aliyeongea nami, akanifikia tena, akaniamusha kama vile kumwamusha mutu toka katika usingizi.