Zechariah 4:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nikazidi kuuliza, “Je, hiyo miti miwili ya mizeituni iliyo upande wa kulia na wa kushoto wa kinara, inamaanisha nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nikamuuliza yule malaika, “Hii mizeituni miwili iliyo upande wa kuume na wa kushoto wa kinara cha taa ni nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikajibu, nikamwambia, Ni nini mizeituni hii miwili iliyo upande wa kuume wa kinara cha taa kile na upande wake wa kushoto?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nikazidi kuuliza, “Je, hiyo miti miwili ya mizeituni iliyo upande wa kulia na wa kushoto wa kinara, inamaanisha nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nikamwuliza yule malaika, “Hii mizeituni miwili iliyoko upande wa kuume na wa kushoto wa kinara cha taa ni nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nikamuuliza yule malaika, “Hii mizeituni miwili iliyoko upande wa kuume na wa kushoto wa kinara cha taa ni nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikajibu, nikamwambia, Ni nini mizeituni hii miwili iliyo upande wa kulia wa kinara cha taa kile na upande wake wa kushoto?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nikazidi kuuliza, “Je, hiyo miti miwili ya mizeituni iliyo upande wa kulia na wa kushoto wa kinara, inamaanisha nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikajibu na kumwuliza: Hii michekele miwili iliyoko kuumeni kwa kinara na kushotoni kwake ni ya nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikajibu, nikamwambia, Ni nini mizeituni hii miwili iliyo upande wa kuume wa kinara cha taa kile na upande wake wa kushoto?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nikazidi kuuliza: Hiyo miti miwili ya mizeituni inayokuwa upande wa kuume na wa kushoto wa kinara, ina maana gani?