Zechariah 4:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na hayo matawi mawili pembeni mwa mirija miwili ya dhahabu ambamo mafuta ya mizeituni hutiririkia, yanamaanisha nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena nikamuuliza, “Haya matawi mawili ya mizeituni karibu na hiyo mirija miwili ya dhahabu inayomimina mafuta ya dhahabu ni nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikajibu mara ya pili, nikamwuliza, Ni nini haya matawi mawili ya mizeituni, ambayo kwa njia ya ile mifereji miwili ya dhahabu hutoa mafuta yao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na hayo matawi mawili pembeni mwa mirija miwili ya dhahabu ambamo mafuta ya mizeituni hutiririkia, yanamaanisha nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena nikamwuliza, “Haya matawi mawili ya mizeituni karibu na hiyo mirija miwili ya dhahabu inayomimina mafuta ya dhahabu ni nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena nikamuuliza, “Haya matawi mawili ya mizeituni karibu na hiyo mirija miwili ya dhahabu inayomimina mafuta ya dhahabu ni nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa mara ya pili, nikamwuliza, Ni nini haya matawi mawili ya mizeituni, ambayo kwa njia ya ile mifereji miwili ya dhahabu hutoa mafuta yao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na hayo matawi mawili pembeni mwa mirija miwili ya dhahabu ambamo mafuta ya mizeituni hutiririkia, yanamaanisha nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikaanza kusema mara ya pili na kumwuliza: Vichala hivi viwili vya michekele vilivyoko kando ya mirija ya dhahabu inayoyapeleka hayo mafuta yao ya dhahabu toka juu maana yao nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikajibu mara ya pili, nikamwuliza, Ni nini haya matawi mawili ya mizeituni, ambayo kwa njia ya ile mifereji miwili ya dhahabu hutoa mafuta yao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na yale matawi mawili pembeni ya mirija miwili ya zahabu ambamo mafuta ya mizeituni yanatiririkia, yana maana gani?