Zechariah 4:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akaniambia, “Je, hujui?” Nami nikamjibu, “La, sijui Bwana!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajibu, “Hujui kuwa haya ni nini?” Nikamjibu, “Hapana, bwana wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanijibu, akasema, Hujui hivi ni nini? Nikasema, La, Bwana wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akaniambia, “Je, hujui?” Nami nikamjibu, “La, sijui Bwana!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajibu, “Hujui kuwa haya ni nini?” Nikamjibu, “Hapana, bwana wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajibu, “Hujui kuwa haya ni nini?” Nikamjibu, “Hapana, bwana wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanijibu, akasema, Hujui hivi ni nini? Nikasema, La, Bwana wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akaniambia, “Je, hujui?” Nami nikamjibu, “La, sijui Bwana!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniambia kwamba: Je? Huijui maana yao? Nikasema: Siijui, Bwana wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanijibu, akasema, Hujui hivi ni nini? Nikasema, La, Bwana wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akaniambia: Haujui? Nami nikamujibu: Hapana, sijui Bwana!