Zechariah 4:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Karibu na kinara hicho kuna miti miwili ya mzeituni; mmoja upande wa kulia na mwingine upande wa kushoto.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia kuna mizeituni miwili karibu yake, mmoja upande wa kuume wa bakuli na mwingine upande wa kushoto.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mizeituni miwili karibu yake, mmoja upande wa kuume walile bakuli, na mmoja upande wake wa kushoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Karibu na kinara hicho kuna miti miwili ya mzeituni; mmoja upande wa kulia na mwingine upande wa kushoto.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia kuna mizeituni miwili karibu yake, mmoja upande wa kuume wa bakuli na mwingine upande wa kushoto.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia kuna mizeituni miwili karibu yake, mmoja upande wa kuume wa bakuli na mwingine upande wa kushoto.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mizeituni miwili karibu yake, mmoja upande wa kulia wa lile bakuli, na mmoja upande wake wa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Karibu na kinara hicho kuna miti miwili ya mzeituni; mmoja upande wa kulia na mwingine upande wa kushoto.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kando yake iko michekele miwili, mmoja kuumeni penye chombo cha mafuta, mmoja kushotoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mizeituni miwili karibu yake, mmoja upande wa kuume walile bakuli, na mmoja upande wake wa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Karibu na kinara hicho kuna miti miwili ya muzeituni; mumoja upande wa kuume na mwingine upande wa kushoto.