Zechariah 4:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nikamwuliza huyo malaika, “Bwana, vitu hivi vinamaanisha nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikamuuliza malaika aliyezungumza nami, “Hivi ni vitu gani, bwana wangu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nikamwuliza huyo malaika, “Bwana, vitu hivi vinamaanisha nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikamuuliza malaika aliyezungumza nami, “Hivi ni vitu gani, bwana wangu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikamuuliza malaika aliyezungumza nami, “Hivi ni vitu gani, bwana wangu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nikamwuliza huyo malaika, “Bwana, vitu hivi vinamaanisha nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikasema na kumwuliza malaika aliyesema na mimi kwamba: Vya nini hivi, Bwana wangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikamwuliza yule malaika: Bwana, vitu hivi vina maana gani?