Zechariah 5:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilipotazama tena niliona kitabu kinaruka angani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kinachoruka!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, gombo la chuo lirukalo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilipotazama tena niliona kitabu kinaruka angani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kilichoruka!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kilichoruka!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, gombo la chuo lirukalo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilipotazama tena niliona kitabu kinaruka angani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoyainua macho yangu tena, nichungulie, mara nikaona barua irukayo angani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, gombo la chuo lirukalo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipoangalia tena niliona kitabu kinaruka katika anga.