Zechariah 5:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nikamwuliza yule malaika aliyezungumza nami, “Wanakipeleka wapi kile kikapu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikamuuliza yule malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Wanakipeleka wapi hicho kikapu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikamwambia yule malaika aliyesema nami, Hawa wanaipeleka wapi efa hii?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nikamwuliza yule malaika aliyezungumza nami, “Wanakipeleka wapi kile kikapu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikamwuliza yule malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Wanakipeleka wapi hicho kikapu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikamuuliza yule malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Wanakipeleka wapi hicho kikapu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikamwambia yule malaika aliyesema nami, Hawa wanaipeleka wapi efa hii?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nikamwuliza yule malaika aliyezungumza nami, “Wanakipeleka wapi kile kikapu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikamwuliza malaika aliyesema na mimi: Hili pishi kubwa hawa wanalipeleka wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikamwambia yule malaika aliyesema nami, Hawa wanaipeleka wapi efa hii?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikamwuliza yule malaika aliyezungumuza nami: Wanakipeleka wapi kile kikapu?