Zechariah 5:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule malaika akaniuliza, “Unaona nini?” Nami nikamjibu, “Ninaona kitabu kinaruka angani; urefu wake ni mita tisa na upana wake ni mita nne na nusu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikamjibu, “Naona kitabu kinachoruka, chenye urefu wa dhiraa ishirini, na upana wa dhiraa kumi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaniuliza, Unaona nini? Nikajibu, Naona gombo la chuo lirukalo; na urefu wake ni dhiraa ishirini, na upana wake dhiraa kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule malaika akaniuliza, “Unaona nini?” Nami nikamjibu, “Ninaona kitabu kinaruka angani; urefu wake ni mita tisa na upana wake ni mita nne na nusu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikamjibu, “Naona kitabu kinachoruka chenye, urefu wa dhiraa ishirini na upana wa dhiraa kumi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikamjibu, “Naona kitabu kinachoruka chenye, urefu wa dhiraa ishirini na upana wa dhiraa kumi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaniuliza, Unaona nini? Nikajibu, Naona gombo la kitabu lirukalo; na urefu wake ni dhiraa ishirini, na upana wake dhiraa kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule malaika akaniuliza, “Unaona nini?” Nami nikamjibu, “Ninaona kitabu kinaruka angani; urefu wake ni mita tisa na upana wake ni mita nne na nusu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniuliza: Unaona nini? Nikasema: Mimi ninaona barua irukayo angani, urefu wake ni mikono ishirini, nao upana wake ni mikono kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaniuliza, Unaona nini? Nikajibu, Naona gombo la chuo lirukalo; na urefu wake ni dhiraa ishirini, na upana wake dhiraa kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule malaika akaniuliza: Unaona nini? Nami nikamujibu: Ninaona kitabu kinaruka katika anga; urefu wake ni metre kenda na upana wake ni metre ine na nusu.