Zechariah 5:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nikamwuliza, “Ni kitu gani hicho?” Naye akanijibu, “Hicho ni kikapu chenye makosa ya nchi nzima.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikamuuliza, “Ni kitu gani?” Akanijibu, “Ni kikapu cha kupimia.” Kisha akaongeza kusema, “Huu ni uovu wa watu katika nchi nzima.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikasema, Ni kitu gani? Akasema, Kitu hiki ni efa itokeayo. Tena akasema, Huu ndio uovu wao katika nchi hii yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nikamwuliza, “Ni kitu gani hicho?” Naye akanijibu, “Hicho ni kikapu chenye makosa ya nchi nzima.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikamwuliza, “Ni kitu gani?” Akanijibu, “Ni kikapu cha kupimia.” Kisha akaongeza kusema, “Huu ni uovu wa watu katika nchi nzima.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikamuuliza, “Ni kitu gani?” Akanijibu, “Ni kikapu cha kupimia.” Kisha akaongeza kusema, “Huu ni uovu wa watu katika nchi nzima.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikasema, Ni kitu gani? Akasema, Kitu hiki ni efa itokeayo. Tena akasema, Huu ndio uovu wao katika nchi hii yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nikamwuliza, “Ni kitu gani hicho?” Naye akanijibu, “Hicho ni kikapu chenye makosa ya nchi nzima.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikauliza: Ndio nini? Akasema: Hili ndio pishi kubwa sana linalotokea. Tena akasema: Hili ndio mfano wa watu walioko katika nchi hii yote nzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikasema, Ni kitu gani? Akasema, Kitu hiki ni efa itokeayo. Tena akasema, Huu ndio uovu wao katika nchi hii yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nikamwuliza: Ni kitu gani hicho? Naye akanijibu: Hicho ni kikapu chenye makosa ya inchi nzima.