Zechariah 5:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kikapu chenyewe kilikuwa na mfuniko uliotengenezwa kwa risasi; kilifunuliwa, nami nikaona mwanamke ameketi humo ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha kifuniko kilichotengenezwa kwa madini ya risasi kilichokuwa kimefunika kile kikapu, kiliinuliwa na ndani ya kile kikapu alikuwako mwanamke ameketi!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na tazama, talanta ya risasi iliinuliwa; na tazama, mwanamke akaaye katikati ya hiyo efa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kikapu chenyewe kilikuwa na mfuniko uliotengenezwa kwa risasi; kilifunuliwa, nami nikaona mwanamke ameketi humo ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha kifuniko kilichotengenezwa kwa madini ya risasi kilichokuwa kimefunika kile kikapu, kiliinuliwa na ndani ya kile kikapu alikuweko mwanamke ameketi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha kifuniko kilichotengenezwa kwa madini ya risasi kilichokuwa kimefunika kile kikapu, kiliinuliwa na ndani ya kile kikapu alikuwako mwanamke ameketi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na tazama, kifuniko cha risasi kiliinuliwa; na tazama, mlikuwa na mwanamke ndani ya kikapu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kikapu chenyewe kilikuwa na mfuniko uliotengenezwa kwa risasi; kilifunuliwa, nami nikaona mwanamke ameketi humo ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara nikaona, kifuniko cha risasi kilivyonyanyuliwa, akaonekana mwanamke mmoja aliyekaa ndani ya hilo pishi kubwa, kisha akatupa jiwe la risasi juu ya domo lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na tazama, talanta ya risasi iliinuliwa; na tazama, mwanamke akaaye katikati ya hiyo efa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kikapu chenyewe kilikuwa na mufuniko uliotengenezwa kwa chuma cha risasi; kilifunuliwa, nami nikaona mwanamuke ameikaa mule ndani.