Zechariah 6:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utachukua fedha na dhahabu hiyo, utengeneze taji ambalo utamvika kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chukua fedha na dhahabu utengeneze taji, nawe uliweke kichwani mwa kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naam, pokea fedha na dhahabu, ukafanye taji, ukamvike kichwani Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utachukua fedha na dhahabu hiyo, utengeneze taji ambalo utamvika kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chukua fedha na dhahabu utengeneze taji, nawe uiweke kichwani mwa Kuhani Mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chukua fedha na dhahabu utengeneze taji, nawe uiweke kichwani mwa kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naam, pokea fedha na dhahabu, ukatengeneze taji, ukamvike kichwani Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utachukua fedha na dhahabu hiyo, utengeneze taji ambalo utamvika kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tunzo utakalowatoza ni fedha na dhahabu; kisha fanya taji, kamvike mtambikaji mkuu Yosua, mwana wa Yosadaki, kichwani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naam, pokea fedha na dhahabu, ukafanye taji, ukamvike kichwani Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatwaa feza na zahabu hiyo, utengeneze taji ambalo utamuvalisha Kuhani Mukubwa Yoshua mwana wa Yosadaki,