Zechariah 6:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nikamwuliza yule malaika aliyeongea nami, “Bwana, magari haya ya farasi yanamaanisha nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikamuuliza malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Hawa ni nani, bwana wangu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikajibu, nikamwuliza yule malaika aliyesema nami, Hawa ni nini, Bwana wangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nikamwuliza yule malaika aliyeongea nami, “Bwana, magari haya ya farasi yanamaanisha nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikamwuliza malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Hawa ni nani bwana wangu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikamuuliza malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Hawa ni nani bwana wangu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikajibu, nikamwuliza yule malaika aliyesema nami, Hawa ni nini, Bwana wangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nikamwuliza yule malaika aliyeongea nami, “Bwana, magari haya ya farasi yanamaanisha nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikaanza kusema na kumwuliza malaika aliyesema na mimi: Hao maana yao nini, Bwana wangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikajibu, nikamwuliza yule malaika aliyesema nami, Hawa ni nini, Bwana wangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikamwuliza yule malaika aliyeongea nami: Bwana, magari haya ya vita yana maana gani?