Zechariah 6:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Farasi hao walipotokea walikuwa na hamu sana ya kwenda kuikagua dunia. Naye malaika akawaambia, “Haya! Nendeni mkaikague dunia.” Basi, wakaenda na kuikagua dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hao farasi wenye nguvu walipokuwa wakitoka, walikuwa wakijitahidi kwenda duniani kote. Akasema, “Nenda duniani kote!” Kwa hiyo wakaenda duniani kote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale wekundu wakatoka, wakataka kwenda huko na huko katika dunia; naye akawaambia, Haya! Tokeni, mwende huko na huko katika dunia. Basi wakaenda huko na huko katika dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Farasi hao walipotokea walikuwa na hamu sana ya kwenda kuikagua dunia. Naye malaika akawaambia, “Haya! Nendeni mkaikague dunia.” Basi, wakaenda na kuikagua dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati hao farasi wenye nguvu walipokuwa wakitoka, walikuwa wakijitahidi kwenda duniani kote. Akasema, “Nenda duniani kote!” Kwa hiyo wakaenda duniani kote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati hao farasi wenye nguvu walipokuwa wakitoka, walikuwa wakijitahidi kwenda duniani kote. Akasema, “Nenda duniani kote!” Kwa hiyo wakaenda duniani kote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farasi wale walipotoka, walitaka kwenda huko na huko katika dunia; naye akawaambia, Haya! Tokeni, mwende huko na huko katika dunia. Basi wakaenda huko na huko katika dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Farasi hao walipotokea walikuwa na hamu sana ya kwenda kuikagua dunia. Naye malaika akawaambia, “Haya! Nendeni mkaikague dunia.” Basi, wakaenda na kuikagua dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wenye nguvu wanatoka kujitafutia mahali pa kwendea, wapate kutembea katika nchi. Alipowaambia: Haya! Nendeni katika nchi! ndipo, walipokwenda kutembea katika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale wekundu wakatoka, wakataka kwenda huko na huko katika dunia; naye akawaambia, Haya! Tokeni, mwende huko na huko katika dunia. Basi wakaenda huko na huko katika dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Farasi hao walipotokea walikuwa na hamu sana ya kwenda kuichunguza dunia. Naye malaika akawaambia: Basi! Muende muichunguze dunia. Basi, wakaenda na kuichunguza dunia.