Zechariah 7:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini watu walikataa kunisikiliza, wakakaidi na kuziba masikio yao ili wasisikie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini wakakataa kusikiliza, wakanipa kisogo kwa ukaidi na kuziba masikio yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hao walikataa kusikiliza, wakageuza bega lao, wakaziba masikio yao ili wasisikie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini watu walikataa kunisikiliza, wakakaidi na kuziba masikio yao ili wasisikie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini wakakataa kusikiliza, wakanipa kisogo kwa ukaidi na kuziba masikio yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini wakakataa kusikiliza, wakanipa kisogo kwa ukaidi na kuziba masikio yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hao walikataa kusikiliza, wakageuza bega lao, wakaziba masikio yao ili wasisikie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini watu walikataa kunisikiliza, wakakaidi na kuziba masikio yao ili wasisikie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walikataa kuyasikia hayo, wakawatolea kosi zao ngumu, wakayaziba masikio yao, wasisikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hao walikataa kusikiliza, wakageuza bega lao, wakaziba masikio yao ili wasisikie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu walikataa kunisikiliza, waligeuza mabega na kuziba masikio yao kusudi wasisikie.