Zechariah 7:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mimi Zekaria:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neno la Mwenyezi Mungu likamjia tena Zekaria:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha neno la Bwana likamjia Zekaria, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mimi Zekaria:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neno la BWANA likamjia tena Zekaria:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neno la bwana likamjia tena Zekaria:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha neno la BWANA likamjia Zekaria, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mimi Zekaria:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likamjia Zakaria la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha neno la BWANA likamjia Zekaria, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno la Yawe lilimufikia Zakaria kusema hivi: