Zechariah 8:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vivyo hivyo nimekusudia kuutendea wema mji wa Yerusalemu na watu wa Yuda. Basi, msiogope.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“hivyo sasa nimeazimia kufanya mema tena kwa Yerusalemu na Yuda. Msiogope.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
vivyo hivyo nimeazimia katika siku hizi kuutendea Yerusalemu mema, na nyumba ya Yuda pia; msiogope.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vivyo hivyo nimekusudia kuutendea wema mji wa Yerusalemu na watu wa Yuda. Basi, msiogope.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“hivyo sasa nimeazimia kufanya mema tena kwa Yerusalemu na Yuda. Msiogope.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“hivyo sasa nimeazimia kufanya mema tena kwa Yerusalemu na Yuda. Msiogope.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
vivyo hivyo nimeazimia katika siku hizi kuutendea Yerusalemu mema, na nyumba ya Yuda pia; msiogope.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vivyo hivyo nimekusudia kuutendea wema mji wa Yerusalemu na watu wa Yuda. Basi, msiogope.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndivyo, nilivyowaza moyoni siku hizi mema, nitakayowafanyia wao wa Yerusalemu nao walio mlango wa Yuda; kwa hiyo msiogope! ndivyo, asemavyo Bwana Mwenye vikosi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
vivyo hivyo nimeazimia katika siku hizi kuutendea Yerusalemu mema, na nyumba ya Yuda pia; msiogope.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
vile vile nimekusudia kuutendea wema Yerusalema na watu wa Yuda. Basi, musiogope.