Zechariah 8:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi lilinijia mimi Zekaria:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neno la Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni likanijia tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena neno la Bwana wa majeshi likanijia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi lilinijia mimi Zekaria:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neno la BWANA Mwenye Nguvu Zote likanijia tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neno la bwana Mwenye Nguvu Zote likanijia tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena neno la BWANA wa majeshi likanijia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi lilinijia mimi Zekaria:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana Mwenye vikosi likanijia la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena neno la BWANA wa majeshi likanijia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe wa majeshi akanitolea mimi Zakaria ujumbe huu: