Zechariah 8:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakazi wa mji mmoja watawaendea wakazi wa mji mwingine na kuwaambia, ‘Twendeni pamoja kumwabudu Mwenyezi-Mungu wa majeshi na kumwomba baraka!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wenyeji wa mji mmoja wataenda kwenye mji mwingine na kusema, ‘Twende mara moja na tukamsihi Mwenyezi Mungu, na kumtafuta Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni. Mimi mwenyewe ninaenda.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wenyeji wa mji huu watauendea mji huu, wakisema, Haya! Twendeni zetu kwa haraka tuombe fadhili za Bwana, na kumtafuta Bwana wa majeshi; Mimi nami nitakwenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakazi wa mji mmoja watawaendea wakazi wa mji mwingine na kuwaambia, ‘Twendeni pamoja kumwabudu Mwenyezi-Mungu wa majeshi na kumwomba baraka!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wenyeji wa mji mmoja watakwenda kwenye mji mwingine na kusema, ‘Twende mara moja na tukamsihi BWANA, na kumtafuta BWANA Mwenye Nguvu Zote. Mimi mwenyewe ninakwenda.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wenyeji wa mji mmoja watakwenda kwenye mji mwingine na kusema, ‘Twende mara moja na tukamsihi bwana, na kumtafuta bwana Mwenye Nguvu Zote. Mimi mwenyewe ninakwenda.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wenyeji wa mji huu watauendea mji huu, wakisema, Haya! Twendeni zetu kwa haraka tuombe fadhili za BWANA, na kumtafuta BWANA wa majeshi; Mimi nami nitakwenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakazi wa mji mmoja watawaendea wakazi wa mji mwingine na kuwaambia, ‘Twendeni pamoja kumwabudu Mwenyezi-Mungu wa majeshi na kumwomba baraka!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenyeji wa mji mmoja watakwenda kwa wenyeji wa mji mwingine kuwaambia: Haya! Twende kujinyenyekeza mbele ya Bwana na kumtafuta Bwana Mwenye vikosi! Mimi nami nitakwenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wenyeji wa mji huu watauendea mji huu, wakisema, Haya! Twendeni zetu kwa haraka tuombe fadhili za BWANA, na kumtafuta BWANA wa majeshi; Mimi nami nitakwenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaaji wa muji mumoja watawaendea wakaaji wa muji mwingine na kuwaambia: Tuende pamoja kumwabudu Yawe wa majeshi na kumwomba baraka!