Zechariah 8:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Barabara za Yerusalemu zitajaa wavulana na wasichana, wakichezacheza humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Barabara za mji zitajaa wavulana na wasichana wanaocheza humo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hizo njia za mji zitajaa wavulana, na wasichana, wakicheza katika njia zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Barabara za Yerusalemu zitajaa wavulana na wasichana, wakichezacheza humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Barabara za mji zitajaa wavulana na wasichana wanaocheza humo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Barabara za mji zitajaa wavulana na wasichana wanaocheza humo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hizo njia za mji zitajaa wavulana, na wasichana, wakicheza katika njia zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Barabara za Yerusalemu zitajaa wavulana na wasichana, wakichezacheza humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena barabara za mji huu zitajaa watoto wa kiume na wa kike watakaocheza palepale barabarani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hizo njia za mji zitajaa wavulana, na wasichana, wakicheza katika njia zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Barabara za Yerusalema zitajaa vijana wanaume na wanawake, wakichezacheza mule.