Zechariah 9:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wafungwa wenye tumaini; rudini kwenye ngome yenu. Sasa mimi ninawatangazieni: Nitawarudishieni mema maradufu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rudieni ngome yenu, enyi wafungwa wa tumaini; hata sasa ninatangaza kwamba nitawarejesheeni maradufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Irudieni ngome, enyi wafungwa wa tumaini; hata hivi leo nasema ya kwamba nitakurudishia maradufu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wafungwa wenye tumaini; rudini kwenye ngome yenu. Sasa mimi ninawatangazieni: nitawarudishieni mema maradufu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rudieni ngome yenu, Enyi wafungwa wa tumaini; hata sasa ninatangaza kwamba nitawarejesheeni maradufu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rudieni ngome yenu, enyi wafungwa wa tumaini; hata sasa ninatangaza kwamba nitawarejesheeni maradufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Rudini katika ngome yenu, enyi wafungwa wa tumaini; hata hivi leo nasema ya kwamba nitakurudishia maradufu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wafungwa wenye tumaini; rudini kwenye ngome yenu. Sasa mimi ninawatangazieni: Nitawarudishieni mema maradufu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Rudini ngomeni, ninyi wafungwa mliokishika kingojeo chenu! Leo hivi nawaambia: Nitakurudishia mara mbili yaliyokuwa yako.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Irudieni ngome, enyi wafungwa wa tumaini; hata hivi leo nasema ya kwamba nitakurudishia maradufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wafungwa wenye tumaini, murudi kwenye ukuta wa muji wenu. Sasa mimi ninawatangazia: nitawarudishia mema mara mbili.