Zechariah 9:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atawatokea watu wake; atafyatua mishale yake kama umeme. Bwana Mwenyezi-Mungu atapiga tarumbeta; atafika pamoja na kimbunga cha kusini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu atawatokea; mshale wake utamulika kama radi. Bwana Mungu Mwenyezi atapiga tarumbeta, naye atatembea katika tufani za kusini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana ataonekana juu yao, Na mshale wake utatoka kama umeme; Na Bwana MUNGU ataipiga tarumbeta, Naye atakwenda kwa pepo za kisulisuli za kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atawatokea watu wake; atafyatua mishale yake kama umeme. Bwana Mwenyezi-Mungu atapiga tarumbeta; atafika pamoja na kimbunga cha kusini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA atawatokea; mshale wake utamulika kama umeme wa radi. BWANA Mwenyezi atapiga tarumbeta, naye atatembea katika tufani za kusini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana atawatokea; mshale wake utamulika kama umeme wa radi. bwana Mwenyezi atapiga tarumbeta, naye atatembea katika tufani za kusini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA ataonekana juu yao, Na mshale wake utatoka kama umeme; Na Bwana MUNGU ataipiga tarumbeta, Naye atakwenda kwa pepo za kisulisuli za kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atawatokea watu wake; atafyatua mishale yake kama umeme. Bwana Mwenyezi-Mungu atapiga tarumbeta; atafika pamoja na kimbunga cha kusini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Bwana ataoneka kwao, mshale wake utokee kama umeme; kisha Bwana Mungu atapiga baragumu akija katika pepo kali za nchi ya kusini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA ataonekana juu yao, Na mshale wake utatoka kama umeme; Na Bwana MUNGU ataipiga tarumbeta, Naye atakwenda kwa pepo za kisulisuli za kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atawatokea watu wake; atafyatua mishale yake kama umeme. Bwana wetu Yawe atapiga baragumu; atafika pamoja na upepo mukali wa kusini.