Zechariah 9:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji wa Tiro umejijengea ngome kumbwa, umejirundikia fedha kama vumbi, na dhahabu kama takataka barabarani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tiro amejijengea ngome imara, amelundika fedha kama mavumbi, na dhahabu kama taka za mitaani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Tiro alijijengea ngome, akakusanya fedha kama mchanga, dhahabu safi kama matope ya njia kuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji wa Tiro umejijengea ngome kumbwa, umejirundikia fedha kama vumbi, na dhahabu kama takataka barabarani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tiro amejijengea ngome imara, amelundika fedha kama mavumbi na dhahabu kama taka za mitaani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tiro amejijengea ngome imara, amelundika fedha kama mavumbi na dhahabu kama taka za mitaani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Tiro alijijengea ngome, akakusanya fedha kama mchanga, dhahabu safi kama matope ya njia kuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji wa Tiro umejijengea ngome kumbwa, umejirundikia fedha kama vumbi, na dhahabu kama takataka barabarani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watiro walijijengea boma, wakalimbika fedha, kama ni mavumbi, na dhahabu tupu kama ni taka za barabarani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Tiro alijijengea ngome, akakusanya fedha kama mchanga, dhahabu safi kama matope ya njia kuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji wa Tiro umejijengea kuta kubwa, umejilundikia feza kama mavumbi, na zahabu kama takataka katika barabara.