Zechariah 9:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Bwana ataichukua mali yake yote, utajiri wake atautumbukiza baharini, na kuuteketeza mji huo kwa moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Bwana atamwondolea mali yake na kuuangamiza uwezo wake wa baharini, naye atateketezwa kwa moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Bwana atamwondolea mali zake, naye ataupiga uwezo wake alio nao baharini, naye mwenyewe atateketezwa kwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Bwana ataichukua mali yake yote, utajiri wake atautumbukiza baharini, na kuuteketeza mji huo kwa moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Bwana atamwondolea mali zake na kuuangamiza uwezo wake wa baharini, naye atateketezwa kwa moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Bwana atamwondolea mali zake na kuuangamiza uwezo wake wa baharini, naye atateketezwa kwa moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, Bwana atamwondolea mali zake, naye ataupiga uwezo wake alio nao baharini, naye mwenyewe atateketezwa kwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Bwana ataichukua mali yake yote, utajiri wake atautumbukiza baharini, na kuuteketeza mji huo kwa moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtaona, Bwana akiuteka, azibwage mali zake pamoja na vikosi vyake baharini, lakini wenyewe utateketezwa kwa moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, Bwana atamwondolea mali zake, naye ataupiga uwezo wake alio nao baharini, naye mwenyewe atateketezwa kwa moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Bwana atatwaa mali yake yote, atautumbukiza utajiri wake katika bahari, na kuuteketeza muji ule kwa moto.