Zechariah 9:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi mwenyewe nitailinda nchi yangu, nitazuia majeshi yasipitepite humo. Hakuna mtu atakayewadhulumu tena watu wangu, maana, kwa macho yangu mwenyewe, nimeona jinsi walivyoteseka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nitailinda nyumba yangu dhidi ya majeshi ya wanyang’anyi. Kamwe mdhalimu hatashambulia watu wangu tena, kwa maana sasa ninawachunga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitapiga kambi yangu pande zote za nyumba yangu ili kuwapinga adui, mtu awaye yote asipite ndani yake wala kurudi; wala mtu aoneaye hatapita tena kati yao; kwa maana sasa nimeona kwa macho yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi mwenyewe nitailinda nchi yangu, nitazuia majeshi yasipitepite humo. Hakuna mtu atakayewadhulumu tena watu wangu, maana, kwa macho yangu mwenyewe, nimeona jinsi walivyoteseka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nitailinda nyumba yangu dhidi ya majeshi ya wanyang'anyi. Kamwe mdhalimu hatashambulia watu wangu tena, kwa maana sasa ninawachunga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nitailinda nyumba yangu dhidi ya majeshi ya wanyang’anyi. Kamwe mdhalimu hatashambulia watu wangu tena, kwa maana sasa ninawachunga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitapiga kambi yangu pande zote za nyumba yangu ili kuwapinga adui, mtu awaye yote asipite ndani yake wala kurudi; wala mtu aoneaye hatapita tena kati yao; kwa maana sasa nimeona kwa macho yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi mwenyewe nitailinda nchi yangu, nitazuia majeshi yasipitepite humo. Hakuna mtu atakayewadhulumu tena watu wangu, maana, kwa macho yangu mwenyewe, nimeona jinsi walivyoteseka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Kisha nitapiga kambi, iwe kilindo cha Nyumba yangu, pasipite mtu kwenda na kurudi, wala pasipite kwao tena mtesaji, kwani tangu hapo nitawaangalia kwa macho yangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitapiga kambi yangu pande zote za nyumba yangu ili kuwapinga adui, mtu awaye yote asipite ndani yake wala kurudi; wala mtu aoneaye hatapita tena kati yao; kwa maana sasa nimeona kwa macho yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi mwenyewe nitailinda inchi yangu, nitazuia majeshi yasipitepite ndani. Hakuna mutu atakayewatesa tena watu wangu, maana, kwa macho yangu mwenyewe, nimeona jinsi walivyoteseka.